Posts

Showing posts from January, 2012

RAISI KIKWETE ANA KWA ANA NA DKT SLAA IKULU

Image
Raisi KIKWETE jana ucku alikutana ana kwa ana hasimu wake mkubwa katibu wa CHADEMA Dkt WILLIBROAD SLAA na hii ni katika kukamilisha mchakato wa uundaji wa katiba mpya ambapo majadiliano haya yllifanyika ikulu

HUYU NDIE BIBI ANAYERAP NA KUIIMBA

Image
Huyu ndio yule bibi anyerap na kuimba ambapo ukweli huu ulijithihirisha ijummaa kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa na Cloudz fm , Bibi huyu kwa sasa yupo chini ya fella ,meneja wa TMK wanaume

RIHANNA MSANII ANATIKISA NCHI ZA MBALI

Image
Du mwanadada huko juu kimtindo na anapendwa na watu kutokana na uimbaji wake wa madaha pamoja na utalaamu wa kutumia sauti yake ktk uimbaji, mwanashosti huyu pia ni mrembwede kwa namna yake coz amekuwa mwenye mvuto kwa vijana wa leo

MATUKIO AMBAYO HUTOKEA UCKU KWA WAPENZI AMA WANANDOA

Image

NATURE NA SINTA WARUDIANA

Image
Msanii wa siku nyingi katika tasnia ya uingiza SINTA anatarajia kuandaa filamu yake itakayoitwa sitaki demu huku akiimshirikisha hasmu wake wa zamani KIBLA SIR NATURE aka KIROBOTO Dalili zinaonesha kuwa watu hawa huenda wakarudia enzi zao za zamani kufuatia tetesi zilizopo juu ya kurudia kwa enzi za mastaa hawa

MSANII DARASA AACHIA REMIX YA WIMBO WAKE WA SIKATI TAMAA

Image
Msanii wa hip hop Tanzani aitwye DARASA aachia ngoma yake ya remix ya wimbo wa sikati tamaa aliyomshirikisha Godzilla pamoja na Joh makini

UTATA WA JINA LA MTOTO WA JAY Z NA BEYONCE

Image
Jina la mtoto wa Jay z na Mkewe Beyonce lazua utata mkubwa kwa fancy wa mziki duniani baada ya wanandoa hawa kutumia jina la zamani la miliki yao .mmhhhhhhhhhhh..................

KAFULILA HUYOOOOOOOOOOO APETA KIGOMA

Image
Mbuge wa Kigoma kupitia chama cha NCCR MAGEUZI , Mh David Kafulila aendelea kupeta katika jimbo lake hii ni baada ya katibu mwenezi wa chama hicho bwana Samweli Rwehuza  alipomponda mh huyu na kusababisha azomewe na wanainchi hawa hali iliyosababisha katibu huyu kushindwa kuendelea na mkutano huo

BELLE 9 APIKA PINI JIPYA

Image
Belle9 akiwa studio alipika pini lake jipya litakalojulikana kwa jina la UJIO tujiandae wadau na wapenzi wake wa burudani katika hili chaoooooooooooo,,,
Image
Mimi pamoja na washikaji zangu maeneo ya  Tanganyika  hoteli enzi hizo

ENZI ZA KIGOMA SEC

Image
Hii inanikumbusha miaka miwili iliyopita pale nilipokuwa Kigoma,  katika uandaaji wa maisha yangu ya baadae hapa tulikuwa ofisi za TPA(Tanzania Port Authority) Mkoa wa kigoma , nikiwa na Washikaji zangu enzi hizo pamoja na Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni hii kanda ya Ziwa Magharibi ,kutoka kushoto ni SUMI ODILO,EDWIN IJUMBA,MKURUGENZI, MDAU,MSOBI, GILBERT aka CHIEF, mimi naHASSAN aka MMBEMBE

JE WAJUA HISTORIA YA NIGHT DRESS ?

Image
  Watalaamu wa mambo waliligundua hili ya kuwa wanaume wengi wakirudi kutoka kazini kabla ya kulala wakiwa kitandani hupenda  kusikiliza miziki laini(blues) Ili kumnogesha zaidi mwanaume, ndipo wataalamu hao wakaamua kutengeneza kitambaa laini na kukishona gauni lililoitwa NIGHT DRESS Mwanamke anayekuwa  kitandani akiwa amevaaa gauni hili humvutia mumewe ama mpenzi wake kutokana na ulaini wake linapoguswa Mwanaume  hujikuta akitaka kulishika  gauni kila wakati ili kujipa raha ya namna linavyoteleza,  Inapotokea akashika mapaja wowoo lililofichwa nagauni hili, mwanaume huzidi kuchanganyikiwa kutokana na ulaini wa kitambaa hicho mwanaume kama ni rijali barabara hatalala bila kutoa haki ya unyumba mmmhhhhhhhh,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,??????.

MV LIEMBA MELI YA KIHISTORIA TANZANIA

Image

MAKUNDI MBALIMBALI KATIKA MAJUMUIKO YA WATU

Image
DA  KATIKA KUFANYA  UTAFITI WA  KIMAISHA  IMEDHIHIRIKA WAZI KUWA WATU TUMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI MAKUU MATANO YAANI;      01  WAANZILISHI WA MAMBO      02 WATU AMBAO HUPITIA MIGONGO YA WENZAO KUNUFAIKA KATIKA KITU AU JAMBO FULANI     03 WATU AMBAO HUTAZAMA WENZAO WAKIFANYA MAMBO NA HAWA NI WATAZAMAJI NA WASIFIAJI WA YALE     04 WATU AMBAO WAO NI WA KUSHANGAA TU HUBAKI KUSHANGAA YANAYOFANYWA NA WENZAO     05 WATU AMBAO HAWANA HILI WALLA LILE JUU KILE KINACHOENDELEA WAO WAPO KWA AJILI YA LEO TU,  NDUGU WATANZANIA TUBADILIKE SASA COZ KUMESHAKUCHA

WHATZ UP FANCE WANGU

Image
DA WADAU VERY SORRY KITABU KIMEBANA KWELI SO NIKO NAANDAA MAMBO KIBAO YA KIMAISHA SO SOON NAKUJA NA UBUNIFU MPYA GET IN TOUCH