ENZI ZA KIGOMA SEC



Hii inanikumbusha miaka miwili iliyopita pale nilipokuwa Kigoma,  katika uandaaji wa maisha yangu ya baadae hapa tulikuwa ofisi za TPA(Tanzania Port Authority) Mkoa wa kigoma , nikiwa na Washikaji zangu enzi hizo pamoja na Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni hii kanda ya Ziwa Magharibi ,kutoka kushoto ni SUMI ODILO,EDWIN IJUMBA,MKURUGENZI, MDAU,MSOBI, GILBERT aka CHIEF, mimi naHASSAN aka MMBEMBE

Comments

Popular posts from this blog