NATURE NA SINTA WARUDIANA


Msanii wa siku nyingi katika tasnia ya uingiza SINTA anatarajia kuandaa filamu yake itakayoitwa sitaki demu huku akiimshirikisha hasmu wake wa zamani KIBLA SIR NATURE aka KIROBOTO



Dalili zinaonesha kuwa watu hawa huenda wakarudia enzi zao za zamani kufuatia tetesi zilizopo juu ya kurudia kwa enzi za mastaa hawa

Comments

Popular posts from this blog