Posts

Showing posts from December 29, 2012

URANIUM JANGA KATIKA MIJI YA BAHI NA MANYONI KATIKA KARNE HII YA 21

Kiukweli mimi bado nalia tu na Tanzania hii huku nikiwahurumia ndugu zangu wakazi wa mji wa Bahi pamoja na mji wa Manyoni kwak kile ambacho kimepangwa na serikali pamoja na wawekezaji mbalimbali juu ya uanzishwaji wa mradi wa uchimbaji uranium .Hivyo basi kutokana na madhara ambayo yatawakuta ndugu zetu wa bahi.