Posts

Showing posts from March 31, 2012

MAJIBU YA AFANDE SELE KWA CHID BENZ

Image
Baada ya juzi CHIDI BENZ kukubali kwamba  pamoja na AFANDE SELLE kumdis, yeye bado  yuko tayari kufanya nae kolabo ambayo alipanga  kufanya na Afande wiki moja au mbili kabla hajamdis,  Afande nae ametoa sentensi ya jibu kutokana na alichosema  ChidiBeenz. Afande amesema “yeah mi niko tayari, niko pamoja nae Chidi  anajua hilo, na hiyo kitu alishaniambia kitambo tukapanga na  mimi bila shaka matatizo yaliyotokea ni mambo ya kupita lakini  mimi wimbo wake hata kesho nasububiri beat niandike tufanye  kitu kilichobora zaidi nafikiri itakua na maana kuliko malumbano  malumbano yanayoendelea haya sio mazuri, sina beef nae” Chanzo cha beef yao ni baada ya Afande kuhojiwa East Africa  Radio na kufananisha kuondoka kwa Ditto  watu pori kwenda  La Familia, sawa na kuondoka Manchester United na kwenda  timu ndogo kama Bolton, maneno ambayo yalimkasirisha sana Chidi Benz

VINEGA WADAI CLOUD FM WAMEWARUDISHA KAMBINI RASMI

Image
Haooooooooooooo Wajipanga kulease volume 3

ALICHOKISEMA CHIDI BENZ KUHUSIANA NA AFANDE SELE

Image
Pamoja na kwamba watu wanaona ni beef imeanza kati ya Afande Selle na Chidi Beenz, exclusive na millardayo.com rapper Chidi Beenz amesema wiki moja kabla ya Afande Selle kumdiss on East Africa Radio, alikua amepanga kumtafuta kwa ajili ya kumpa shavu la single yake mpya anayotaka zisikike sauti za Mwana FA na Afande Selle. Amesema “wiki moja kabla nilikua niko na Tippo wa Zizzou tulikua tunaongelea ngoma flani hivi niliwahi kurekodi nikaanza kurekodi chorus alafu nikaiacha, nikamtumia Mwana FA aandike verse yake pia ngoma inaitwa Mani, Zizzou akaniambia ukimtumia na Afande itakua poa anaweza kuandika kitu kizuri sana alafu hajasikika siku nyingi itakua safi, nikasema kweli bwana hata mimi sijamsikia Afande zamani itabidi nikifika Dar nimtafute kwenye simu” Mfalme wa Ilala amesema “yani juzi nimesikia Afande ananidiss nikacheka, nikaona Afande juzi tu tumekutana kwenye show ya CLOUDS nimemuona Afande anazurura peke yake nikamuita nikiwa na Fid Q, Prof J, FA

DIAMOND AKATA MKWANJA WA WEMA AKIWA STEJINI MLIMANI CITY

Image

DIAMOND PLATINUM AFUNIKA MBAYA NDANI YA SHOW YA DIAMOND ARE FOREVER MLIMAN CITY

Image