Posts

Showing posts from March 6, 2012

KIGOMA/UJIJI WACHAKACHUAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!

Image
Habari zilizotufikia kutoka chanzo chetu cha habari ni kwamba zaidi ya wanafunzi 487 ambao walifeli masomo yao shule za msingi katika miaka ya nyuma katika manispaa ya kigoma/ujiji wamegundulika kuendelea namasomo yao katika shule za sekondari, haya yamegundulika baada ya mkaguzi wa kanda ya ziwa  Bw Charles Kawasege alipozulu katika manispaa hiyo

TAFAKARI YA LEOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Image