KIGOMA/UJIJI WACHAKACHUAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!
Habari zilizotufikia kutoka chanzo chetu cha habari ni kwamba zaidi ya wanafunzi 487 ambao walifeli masomo yao shule za msingi katika miaka ya nyuma katika manispaa ya kigoma/ujiji wamegundulika kuendelea namasomo yao katika shule za sekondari, haya yamegundulika baada ya mkaguzi wa kanda ya ziwa Bw Charles Kawasege alipozulu katika manispaa hiyo
Comments
Post a Comment