MV LIEMBA MELI YA KIHISTORIA TANZANIA

Habari za leo wadau, ukionacho hapo juu ni meli ya kihistoria ambayo hufanya safari zake kutoka KIGOMA TANZANIA kwenda  ZAMBIA meli hii ni maarufu kwa jina la MV LIEMBA.Meli hii ilijengwa mnamo miaka ya 1910s  na WAJERUMANI ambao walikuwa wakitawala Tanganyika miaka hiyo , meli hii imekuwa maarufu sana  kwa nchi yetu na hususani katika utalii kwani Wajerumani wamekuwa wakipenda  kuja kutalii katika mkoa wa KIGOMA ili wajiionee meli yao ya kihistoria ambapo kwa namna moja  ama nyingine Wajerumani hawa wamekuwa wakiitaka meli hii waichukue ili waweze kutuletea meli nyingine mpya nlakini wapi ,serikali ya mkoa wa Kigoma imekua haiafikiani kabisa na  ombi hilo hivyo kuifanya meli hii iendelee kuwepo Tanzania hii , MUNGU IBALIKI TANZANIA MELI YETU TUNAIPENDA TUSIJE TUKAPOKONYWA NA WAAJERUMANI kwani inatuingizia kipato katika USAFIRISHAJI na UTALII unaofanywa naWAJERUMANI

Comments

Popular posts from this blog