JE WAJUA HISTORIA YA NIGHT DRESS ?




 


Watalaamu wa mambo waliligundua hili ya kuwa wanaume wengi wakirudi kutoka kazini kabla ya kulala wakiwa kitandani hupenda  kusikiliza miziki laini(blues)
Ili kumnogesha zaidi mwanaume, ndipo wataalamu hao wakaamua kutengeneza kitambaa laini na kukishona gauni lililoitwa NIGHT DRESS
Mwanamke anayekuwa  kitandani akiwa amevaaa gauni hili humvutia mumewe ama mpenzi wake kutokana na ulaini wake linapoguswa
Mwanaume  hujikuta akitaka kulishika  gauni kila wakati ili kujipa raha ya namna linavyoteleza, 
Inapotokea akashika mapaja wowoo lililofichwa nagauni hili, mwanaume huzidi kuchanganyikiwa kutokana na ulaini wa kitambaa hicho mwanaume kama ni rijali barabara hatalala bila kutoa haki ya unyumba mmmhhhhhhhh,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,??????.

Comments

Popular posts from this blog