Posts

Showing posts from April, 2012

MKASI WITH LULU

Image

KUTOKA LEADERS CLUB PALE HESHIMA ZA MWISHO ZILIPOTOLEWA KWA STAA WA BONGO MOVIE STEVE CHARLES KANUMBA

Image

STEVEN KANUMBA AFARIKI DUNIA

Image
Habari zilizotufikia hivi sasa zinasema msanii maarufu nchini, Steven Kanumba amefariki dunia ghafla baada ya kudondoka na kujingonga sehemu ya kisogo akiwa nyumbani kwake Vatican, Sinza jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea majira ya saa 7 usiku wa kuamkia leo na taarifa za kudondoka kwa Kanumba zilitolewa na kijana anayeishi nae hapo nyumbani ajulikanaye kwa jina la Seti aliyemwita daktari kujaribu kuokoa maisha yake lakini alipofikishwa hospitali ya Muhimbili tayari alikuwa amekata roho. Kwa sasa mwili wa marehemu umeifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Taifa Muhimbili. Habari zaidi zitawajia baadae.

ALICHOKISEMA DIAMOND BAADA YA WEMA KUMTUPIA KOMBORA NDANI YA XXL YA CLOUD FM

Image
Baada ya kukasirishwa na alichokisema  Wema, Diamond aliomba kuzungumza kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM na kukiri kwamba “Millard kiukweli mimi sipendi ugomvi, na haya nisinge yasema kama yeye asingekuja kuongea uongo, yani hata sababu kubwa ya mimi na yeye kutofautiana ilikua ni kitu kidogo tu anakipeleka kwenye media na ikafika time anasema hanitaki ila mimi ndio namng’anga’nia wakati ukweli ni kwamba alikua analetwa nyumbani na rafiki zake na ndugu zake akilia anaomba isuluishwe turudiane, mpaka anampigia mama yangu mzazi, rafiki zangu na ndugu kama Shetta na Romy Jones, pia anawaambia marafiki zake waandae sehemu ya Dinner ili atokee kama Suprise” Diamond amesema “kabla ya show yangu ya juzi alikuja nyumbani mimi niko ndani navaa nasikia sauti yake barazani, namuuliza ndugu yangu Rommy ananiambia ni Wema, nauliza kafata nini nyumbani? mimi nina mpenzi wangu na yeye anamfahamu na hizi drama za Wema zinafanya mpenzi wangu akasirike kwa sababu anaona bado n

AMINI AFUNGA NDOA KIMYA KIMYAAAAA

Image