Hizi ndizo shule zetu ambazo mpaka leo  zimetufikisha huku tuliko huku  taifa likitazamiia miaka 50 ya uhuru sasa je tujiulize swali miaka hii 50 ya uhuru ni mabadiliko gani mhimu yaliyojitokeza katika nyanja zote za kimaisha ambayo yamemwinua mtu wa maisha ya chini .watanzania tukaa chini na tutafakari hili

Comments

Popular posts from this blog