Posts

Showing posts from November, 2011
Image
Hizi ndizo shule zetu ambazo mpaka leo  zimetufikisha huku tuliko huku  taifa likitazamiia miaka 50 ya uhuru sasa je tujiulize swali miaka hii 50 ya uhuru ni mabadiliko gani mhimu yaliyojitokeza katika nyanja zote za kimaisha ambayo yamemwinua mtu wa maisha ya chini .watanzania tukaa chini na tutafakari hili

WELLCOME TO THE GREAT BLOG

 Whats up Tanzania pamoja na pande zote za ulimwengu huu ,ni matumaini yangu ya kwamba tu pamoja katika  uwezeshaji wa blog yetu mpya  ni hiyar ya yeyote yule ;kampuni ama mtu binafsi kufadhiri blog hii ;nitumie tu fursa hii kuwakaribisheni wadau  katika blog  hii mpya asanteni na karibuni sana